.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Septemba 2016

SALA YA IDD EL HAJJ KITAIFA MKOANI PEMBA

WAUMINI wa dini ya kiislamu waliojumuika na Rais wa Zanzibar katika sala ya Eid-el Hajji iliofanyika uwanja wa Fire bandarini Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAUMINI wa dini ya kiislamu waliojumuika na Rais wa Zanzibar katika sala ya Eid-el Hajji iliofanyika uwanja wa Fire bandarini Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akiwasili uwanja wa Fire bandarini Mkoani Pemba, kwa ajili ya kujumuika na Rais wa Zanzibar Mhe: Dk Ali Mohamed Shein na wananchi kadhaa wa kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTANGAAZAJI wa ZBC –redio Pemba Juma Mussa Juma akiwa na mwenzake Ali Haji Mwadini, wakitangaza moja kwa moja - mubaashara (live), kutoka kwenye uwanja wa Fire bandarini Mkoani Pemba, ambapo rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe: Dk Ali Mohamed Shein, alijumuika na wananchi kadhaa wa Pemba kwenye sala ya Eid-el Hajii, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAUMINI wa dini ya kiislamu waliojumuika na Rais wa Zanzibar katika sala ya Eid-el Hajji iliofanyika uwanja wa Fire bandarini Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Mhe: Ali Mohamed Shein, katikati, akiwa kwenye ibada ya sala ya idd –el hajj iliyofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, ambapo waumini kadhaa wamejitokeza kwenye sala hiyo, (Picha na Nassor, Pemba).


WAPIGA picha kutoka vyombo mbali mbali vya habari vya Zanzibar, wakisikiliza hutuba ya sala ya Eid-el Hajii iliotolewa na sheikh Ali Adam Makame, kwenye sala ya Eid-el Hajji iliohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe: Dk Ali Mohamed Shein, iliofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Mhe: Ali Mohamed Shein akisalimiana na watoto waliohudhuria sala ya ya Idd el hajj iliofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni