.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 5 Novemba 2016

MAREKANI YAMUUWA KIONGOZI MMOJA MWANDAMIZI WA AL-QAEDA

Marekani imethibitisha kifo cha kiongozi mwandamizi wa al-Qaeda aliyeshambuliwa na ndege inayojiendesha yenyewe kaskazini mashariki mwa Afghanistan.

Kiongozi huyo Farouq al-Qahtani, ambaye ni kiongozi pekee katika eneo hilo aliuwawa wiki mbili zilizopita katika shambulizi ambalo Pentagon imesema limefanikiwa.

Al-Qahtani ambaye ni mzaliwa wa Saudi aliwekwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa mno na Marekani mwezi Februari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni