Na Dotto Mwaibale
WASANII Yemi Alade na Tecnomile kutoka Nigeria leo watapanda jukwaani na washindi 16 washindano la Tigo Fiesta Super Nyota katika fainali ya Tamasha la Fiesta 2016 lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
Wasanii hao wanatarajiwa kutoa burudani na nguvu katika viwanja hivyo itakayokwenda sanjari na kumpata mshindi wa tamasha hilo kwa mwaka 2016.
Akizungumza katika mkutano wa kujitambulisha kwa wanahabari msanii Tecnomile alisema Tanzania kwake ni kama nyumbani na Diamond na Vanesa ni washikaji zake hivyo atatoa burudani kali ili washikaji wakumbuke ujio wake.

Kwa upande wake msanii Yemi ameshukuru mapokezi makubwa yaliyofanywa dhidi yao na kuwa anaipenda Tanzania na anajisikia
yupo nyumbani na pia anakipenda Kiswahili.
Yemi alitumia fursa hiyo kuwaomba wananchi hasa wapenzi wa muziki kufika kwa wingi katika viwanja hivyo kupata burudani la kukata na shoka.
Wasanii wa hapa nyumbani ambao ni washindi Super Nyota 16 watakaopanda jukwaani kumsaka bingwa wa Tamasha la Fiesta 2016 ni Nchama Anton a.k.aNchama, Raphael Charles Manengoa.k.a Manengo kutoka (Mwanza), Ibrahim Jumaa.k.a Mpanduji(Shinyanga) , Obed Moses a.k.a O strings (Muleba), Salum Asmana.k.a Alinacha ( Kahama), Gasper Festoa.k.a YOW (Tabora) Alex Joseph .a.k.a TIZO ( Singida), Godfrey Andrew Mhojaa.k.a NEXUS( Dodoma) Hamad Hussein a.k.a Med Botion (Morogoro) Cyril Henry Isidora.k.a So Real(Tanga) Wilson Pascal a.k.a Willy Desmiller( Mtwara ) Charles Marikia.k.aGerere(Moshi) MohammedyAmirya.k.aCroozy (Arusha), AminaChibabaa.k.a Ammy Chiba (Mbeya) Leonard John Haulea.k.asauti classic (Sumbawanga).
Tamasha la Tigo Fiesta 2016 limekuwa likiendeshwa kwa ubia baina Kampuni ya Prime Time Promotions na Tigo Tanzania huku Tigo ikiwa ndio mdhamini mkuu.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni