Rapa Kanye West ameruhusiwa hivi
karibuni kutoka hospitali kufuatia mfululizo wa matukio ya
kuchanganyikiwa.
Rapa huyo mwenye umri wa miaka 39
ameibuka Jijini New York ikiwa ni wiki kadhaa kupita tangu kupatwa na
tatizo la kupagawa.
Kanye alionekana akiwa amepaka rangi
nywele zake, akiwa amevalia nguo na viatu vya kampuni yakea ya
Yeezy, hii ikiwa mara ya pili kuonekana hadharani tangu atoke
hospitali.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni