Zlatan Ibrahimovic amepiga picha na
sanamu yake yenye urefu wa mita 2.7 iliyopo nchini Sweden, ambayo
bado inaendelea kukamilishwa.
Sanamu hiyo ya Ibrahimovic, itawekwa
nje ya uwanja wa taifa Jijini Stockholm, ikiwa ni heshima ya kutambua
mchango wake kwa timu ya taifa.
Zlatan Ibrahimovic akipiga picha akiwa ameshikilia kwa majigambo sanamu yake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni