Hatua ya 32 bora ya michuano ya ligi
ya Uropa itaikutanisha Manchester United na St Etienne, ambapo Paul
Pogba atachuana na kaka yake Florentin Pogba.
Manchester United itaanzia ugenini
siku ya jumatano ya Februari 22, kwa mujibu ratiba ya kamati ya
michuano hiyo.
Florentin Pogba akiwajibika uwanjani akiwa na timu yake ya St Etienne
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni