Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ali akitoa darsa kwa Maelfu ya Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria Maulidi ya Uzawa wa Mtume Muhammad {SAW} hapo Temeke Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Dr. Moh’d Gharib Bilal akitoa salamu kwenye Maulidi ya Mtume Muhammad { SAW }yaliyoffanyika kwenye Msikiti wa Ijumaa wa Majmuati Islamia Temeke Mjini Dar es salaam. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika hafla ya Maulidi ya uzawa wa Mtume Muhammad {SAW } yaliyoandaliwa na Uongozi wa Msikiti wa Ijumaa wa Majmuati Islamia Temeke Mjini Dar es salaam. Picha na – OMPR – ZNZ.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema
misikiti endapo itatumika kwa mujibu wa maelekezo ya Kiongozi wa Dini
ya Kiislamu Duniani Mtume Muhammad { SAW } itaendelea kuwa kimbilio la
waumini wote wa Dini hiyo.

Alisema tabia ya baadhi ya Waumini wa Dini hiyo kuifanya Misikiti kuwa
majukwaa ya Kisiasa ndio sababu inayopelekea mifarakano katika Jamii
makiwemo matatizo ya kugombea Uongozi wa Misikiti.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo katika hafla ya Maulidi ya uzawa wa
Mtume Muhammad { SAW } yaliyoandaliwa na Uongozi wa Msikiti wa Ijumaa
wa Majmuati Islamia Temeke Mjini Dar es salaam.

Balozi Seif alisema Waumini na Wananchi wanapaswa kujitahidi kuitumia
Misikiti mbali ya kusali lakini pia inaweza kufanywa mwahala mwa
mipango ya maisha, sehemu ya kutoa Tiba, sadaka pamoja na michezo
inayokubalika Kidini.

Alisema Jamii inaendelea kushuhudia ufinyu mdogo wa matumizi yasiyo
sahihi kama matumizi ya dawa za kulevya, udhalilishaji wa watoto
wadogo,Wanawake pamoja na ujambazi.

Balozi Seif alifahamisha kwamba kuporomoka kwa maadili hasa kwa Vijana
kwa kiasi kikubwa kunatokana na kukosa fursa za kujifunza kupitia
Misikiti ndani ya muongozo wa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Mtume
Muhammad { SAW }.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameushukuru na kuupongeza Uongozi
wa Msikiti wa Ijumaa wa Majmuat Islamia pamoja ya Bodi ya wadhamini ya
Msikiti huo kwa kazi kubwa inayoshuhudiwa na Jamii ya muendelezo wa
ujenzi wa Majengo ya Skuli ya Temeke Islamia inayolenga kuwafinyanga
watoto katika msingi wa maadili.

Balozi Seif alisema huo ni mfano mzuri ulioonyeshwa na Uongozi wa
Msikiti wa Majumuat Islamia ambao unastahiki kujigwa na masikiti
mengine hapa nchini Mijini na Vijijini.

Mapema Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ali alisema hafla
za maulidi ya Uzawa wa Mtume Muhammad {SAW} ni fursa ya dhahabu kwa
waumini wa Dini hiyo kumtukuza Kiongozi huyo.

Sheikh Zubeir alisema inasikitisha kuona fursa kama hiyo ikiwa
miongoni mwa mwingi zilizopo kwa ajili ya kutekelezwa na Waumini hao
lakini wapo baadhi ya watu wanaopiga vita hafla hizo.

Alisema maendeleo yoyote ikiwemo yale ya Kiibada yanapatikana pale
penye ushirikiano na Umoja na mfarakano ni ugonjwa unaostahiki
kuepukwa na Waislamu kwa vile unasababisha kuhasibiana na
kubughudhiana.

Alitahadharisha kwamba Waumini wa Dini ya Kiislamu iwapo hawatakubali
kubadilika Uislamu utaendelea kubakia Vijiweni.

Akigusia suala la Elimu Mufti Mkuu wa Tanzania alieleza kwamba Uislamu
na Elimu na mambo pacha yanayomuwezesha Mwanaadamu kupiga hatua kubwa ya Maendeleo.

Sheikh Zubeir alimtolea Mfano Mwanafalsafa wa Kiislamu Firdas
aliyefanya kazi kubwa ya kufanya utafiti uliopelekea wataalamu wa
Dunia kuitumia anga kwa harakati za usafiri wa Anga.

Akitoa salamu katika Hafla hiyo ya Maulidi ya Uzawa wa Mytume Muhammad
{SAW} Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.
Moh’d Gharib Bilal alisema mikusanyiko ya Waumini ni Drsa
linalowasaidia washiriki husika kuwa na upeo zaidi wa ufahamu wa Dini
yao.

Dr. Bilal aliupongeza Uongozi wa Msikiti Majmuati Islamia chini ya
Imamu Mkuu wake Sheikh Alhad Mussa Salum ambae pia ni Sheikh Mkuu wa
Mkoa wa Da es salaam kwa fikra zao za kuandaa mkusanyiko huo wa kheir
unaoongeza upendo, mahaba na kujuana miongoni mwa Waislamu mbali
mbali.

Maulidi ya Uzawa wa Mtume Muhammad {SAW} yaliyoandaliwa na Uongozi wa Msikiti wa Ijumaa wa Majmuati Islamia yameshirikisha Waumini wa
Madhehebu tofauti wa Tanzania, Kenya na Wawakilishi wa Balozi na
Taasisi za Kimataifa zilizopo Nchini Tanzania.
Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
28/1/2017.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni