Ni simulizi ya kweli inayo lenga kuelimisha jamii kuhusiana na suala la ndoa katika karne ya sasa.
Kumekuwa na sababu za hapa na pale zinazo pelekea vijana wengi kuchelewa au kushindwa kabisa kuoa na kuolewa.
Kuoa na kuolewa ni moja kati ya sehemu ya maisha ya mwanadam na inafika wakati mtu anakuwa na shauku ya kuoa au kuolewa, lakini kutokana na baadhi ya vikwazo vinavyo jitokeza imekuwa ni changamoto kubwa.
Baada ya kuliona hilo kwa jicho pevu “WAELIMISHAJI CREW”;Zaydar ,Moses, Aisha, Happy Kilaka wamekuletea ujumbe mzito kwa njia ya video kupitia Short Films zinazo andaliwa na Vinec Production Tanzania - Dar es salaam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni