.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 18 Januari 2017

BUNGE LAMUONGEZEA MUDA WA KUKAA MADARAKANI RAIS JAMMEH

Bunge la Gambia limeongeza muda wa kuendelea kukaa madarakani rais Yahya Jammeh, ambaye muda wake ulitakiwa kuisha Alhamis, kwa kuongeza siku 90.

Bunge pia limeridhia uamuzi wa kutangazwa siku 90 za hali ya hatari katika taifa hilo dogo la Afrika Magharibi.

Viongozi wa mataifa ya ukanda huo wametishia kutumia jeshi kumng'oa madarakani Jammeh iwapo atakataa kukabidhi madaraka kwa rais mteule Adama Barrow, Alhamis.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni