Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa
wa Simiyu ikiwa katika mahojiano na wawekezaji wa mradi wa uchimbaji
wa Nickle wa Dutwa. Wawekezaji hao, Dutwa Minerals Limited,
wanatakiwa kutoa nafasi kuruhusu ujenzi wa tenki la maji, mradi
utakaohudumia wakazi wa wilaya tatu za Mkoa huo. Mahojiano hayo
yaliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, RC Anthony Mtaka, Katibu
Tawala Jumanne Sagini na kuwajumuisha wajumbe wote walioko ziarani
jijini Dar es Salaam.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa
wa Simiyu ikiwa katika mahojiano na wawekezaji wa mradi wa uchimbaji
wa Nickle wa Dutwa.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa
wa Simiyu ikiwa katika mahojiano na wawekezaji wa mradi wa uchimbaji
wa Nickle wa Dutwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni