Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.
Mwigulu Nchemba akionyeshwa na RPC wa Tabora silaha mbalimbali
zilizokamatwa mwishoni mwa mwaka jana na mwaka huu zikiwemo za kivita
na nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120
zilizokamatwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na maafisa wa
maliasili mkoani humo na maeneo jirani.
Silaha zilizokamatwa zikiwa zimeegemezwa ukutani
Nyara za serikali pamoja na silaha zilizokamatwa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni