.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 29 Januari 2017

MAJALIWA ATEMBELEAWA NYUMBANI KWAKE NA MFANYABIASHARA SABODO

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Mfanyabaishara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salam kumtembelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni