Misri imesonga mbele katika michuano
ya Kombe la Mataifa ya Afrika na kuitoa nje Morocco kufuatia goli
pekee la mchezaji aliyetokea bechi, Mahmoud Abdel-Moneim la dakika ya
87.
Mohammed Salah alijikuta
akidhibitiwa mara mbili kufunga na kipa Munir Mohamedi, ambapo kabla
ya Misri kufunga goli hilo, Morocco ilipoteza nafasi kadhaa nzuri.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni