Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek
Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Morocco Mhe Abdellah Benryane Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Zambia Mhe. Benson Keith Chali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo Hermandes Polledo Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Iran Mhe Mousa Farhang Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Jumatano Fenruari 8, 2017
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho Ikulu jijini Dar
es Salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni