Jorge Linares amemshinda Anthony
Crolla kwa ushindi wa pointi za majaji wote watatu katika pambano la
uzito wa lightweight.
Katika pambano hilo Jorge Linares
alijipata katika matatizo kiasi, ikiwa ni miezi sita kupita tangu
atwae mkanda wa WBA uzito lightweight kutoka kwa Crolla.
Jorge Linares akimtundika shavuni konde la kushoto Anthony Crolla
Jorge Linares akinyanyuliwa mkono juu na kutangazwa mshindi wa pambano hilo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni