.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 24 Machi 2017

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI NCHINI- PORT LOUIS MAURITIUS

KINYO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis nchini Mauritius , Machi 23, 2017. MNI
Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth akizungumza katika mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017.
MNI 1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth katika mkutano wa Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Mauritius kabla ya kufungua mkutano huo mjini Port Louis, Machi 23, 2017.
MNI 2
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo mjini Port Louis Machi 23, 2017.
MNI 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth baada ya kufungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni