Shirika la Misaada la Hispania
limesema zaidi ya wahamiaji 200 wanahofiwa kufa maji baada ya boti
waliyokuwamo kuzama baharini kwenye pwani ya Libya.
Shirika hilo la Proactiva Open Arms
limesema limepata miili mitano iliyokuwa ikielea baharini karibu na
boti mbili zilizozama ambazo zinauwezo wa kubeba watu 100.
Kundi hilo la Laura Lanuza limesema
miili mitano imepatikana katika bahari ya Mediterranean ambayo ni ya
vijana wa kiume waliokufa maji.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni