Bondia Muingereza Anthony Joshua
anaendelea kujifua kwa pambano lake la mwishoni mwa mwezi huu dhidi
ya Wladimir Klitschko.
Pambano hilo limepangwa kufanyika
Wembely Aprili 29, hata hivyo Joshua, anaamini pambano lake na Tyson
Fury ndio litakuwa pambano kubwa kuliko la Klitschko.
Bondia Muingereza Anthony Joshua akifanya mazoezi ya shingo
Bondia Muingereza Anthony Joshua akiendelea na mazoezi
Bondia Anthony Joshua akifurahia jambo wakati wa mazoezi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni