.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Aprili 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

LEM1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene Magige na Joyce Mukya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM2
Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa Viti Maalum, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM3
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene Magige na Joyce Mukya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, (kulia) bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LEM8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni