.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 18 Aprili 2017

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA BI. THERESA MAY AITISHA UCHAGUZI MKUU WA MAPEMA


Waziri Mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May ametangaza mpango wa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mapema Juni 8.

Bi. May amesema Uingereza inahitaji viongozi madhubuti, imara na wenye nguvu kufuatia kura ya maoni ya kujiondoa Umoja wa Ulaya.

Akielezea uamuzi wake huo Bi, May amesema taifa limeimarika pamoja lakini serikali bado haipo imara.
           Waziri Mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May akiongea mbele ya waandishi wa habari


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni