Waziri Mkuu wa Ethiopia, amekataa
wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanya uchunguzi huru
wa vifo vya mamia ya watu vilivyotokea wakati wa maandamano ya
kupinga seriali.
Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn
amesema Ethiopia inaouwezo wa kufanya uchunguzi wake yenyewe.
Waandamanaji hao wa mikoa ya Amhara
na Oromia wamekuwa wakilalamikia kutengwa kisiasa na kiuchumi na
serikali.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni