Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa
taifa la Israel, Ehud Barak walipokutana katika eneo la Olduvai Gorge
katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea katika
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (katikati) ni Meneja Mawasiliano wa
Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Pascal Shelutete.
Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la
Israel, Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa
Malisili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika
eneo la Makumbusho ya kale la Olduvai Gorge ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
(kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete.
Mhandisi Ramo Makani akimueleza
jambo Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel, Ehud Barak baada ya
kukutana katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani (katikati) akimongoza Waziri Mkuu wa
zamani wa Taifa la Israel ,Ehud Barak (kushoto) kutembelea eneo la
Olduvai Gorge .kulia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za
Taifa (TANAPA).
Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la
Israel ,Ehud Barak akitia saini katika kitabu cha wageni huku Naibu
Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akishuhudia mara
baada ya kufika eneo la Olduvai Gorge akiwa njiani kuelekea Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti kushudia tendo la wanyama aina ya Nyumbu
wahamao kwa makundi.
Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika picha ya pamoja na Watalii
wa ndani baada ya kukutana nao katika eneo la Olduvai Gorge.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akieleza mambo ambayo amepata kuongea na
Waziri Mkuu wa Israel baada ya kukutana nae katika ene la Olduvai
Gorge.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni