Polisi nchini Kenya imemuua kwa
kumpiga risasi mwanamke mwingine anayeaminika kuwa ni rafiki ya
mwanamke jambazi, Claire Njoki Mwaniki, maarufu kama Clea Adi Vybz.
Mtuhumiwa huyo anayejulikana kama
Marsha Minaj, amepigwa risasi na kufa yeye na mwanaume aliyekuwa naye
kwenye nyumba huku Migingo, eneo la Patanisho.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni