.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Juni 2017

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO (MOU)

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili. MoU imejikita kwenye ushirikiano wa Utafiti, Taaluma, kubadilishana wataalamu, ziara za kitaaluma kwa wanafunzi. Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) wakibadilishana mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha.
Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(kulia) akizungumza jambo baada ya taasisi hiyo na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kuweka saini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili uliofanyika katika chuo cha ufundi Arusha,kushoto ni Dk Richard Massika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni