Timu ya Real Madrid imezindua jezi
zake mpya za kuchezea nyumbani na ugenini wakati ikianza maandalizi
ya msimu mpya wa 2017-2018.
Jezi ya nyumbani ni nyeupe zaidi
kuliko ya msimu uliopita ikiwa na michirizi mitatu ya blue begani,
ambayo inawasilisha mawingu ya Jiji la Real Madrid.
Jezi ya ugenini inabakia ni nyeusi,
ambayo Los Blancos alipatana nayo mafanikio kabla ya ushindi wa ligi
ya Mabingwa Ulaya mwaka 2000.
Gareth Bale akiwa amevalia jezi ya ugenini ya Real Madrid
Karim Benzema akiwa amevalia jezi ya nyumbani ya Real Madrid
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni