Rais mstaafu wa Marekani Barack
Obama pamoja na familia yake wapo katika mapumziko nchini Indonesia
wakipanda boti za kujaza opepo na kutembelea mahekalu.
Obama amewasili akiwa na mkewe na
mabinti zake wawili katika kisiwa cha Bali na kisha kutembelea hekalu
la kale la Buddha huko Java.
Obama ni mmoja wa watu maarufu
Indonesia na mapumziko yake hayo yamekuwa yakipata nafasi kubwa
katika vyombo vya habari, kutokana na kuwahi kuishi huko kwa miaka
minne akiwa mtoto.
Obama na familia yake wakikata maji Indonesia kwa kutumia boti ya kujaza upepo
Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama akiwa Indonesia na familia yake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni