.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Juni 2017

SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA TAASISI YA UTSS (UNDER THE SAME SUN) LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

unnamed
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (kushoto) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
1
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (katikati) pale ugeni kutoka Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Vicky Ntetema
2
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (kushoto) pale ugeni kutoka Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
3
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Taasisi ya UTSS (Under the same Sun) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi hiyo Ndg. Peter Ash (wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Vicky Ntetema (wa tatu kulia) baada ya kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

                                                                         (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni