Watu sita wameuwawa na wengine
wapatao 48 kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Jijini London
ambapo washambuliaji watatu wanaume nao wameuwawa kwa kupigwa risasi
na polisi.
Gari jeupe liliwagonga watembea kwa
miguu katika daraja la London jumamosi na kisha watu watatu wakatoka
kwenye gari hilo na kuwachoma visu watu kadhaa katika soko Borough
lililopo karibu na daraja hilo.
Mmoja wa majeruhi akiwa amebebwa kwenye kitanda chenye magurudumu akiwahishwa katika gari la wagonjwa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni