Jumapili, 2 Julai 2017
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LANYAKUA USHINDI WA KWANZA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA MASHIRIKA YATOAYO HUDUMA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli (katikati), akimkabidhi Tuzo ya Ushindi wa Kwanza kwa Mashirika yatoayo huduma katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deogratius Kwiyukwa, Viwanja vya Sabasaba, Kilwa Road jijini Dar es Salaam jana, wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo. Kulia anayesaidia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijsnge.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli (kulia), akimkabidhi Tuzo ya Ushindi wa Kwanza kwa Mashirika yatoayo huduma katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deogratius Kwiyukwa, Viwanja vya Sabasaba, Kilwa Road jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo jana.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deogratius Kwiyukwa (katikati), akiwa ameishikilia Tuzo ya Ushindi wa Kwanza kwa Mashirika yatoayo huduma katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Sabasaba, Kilwa Road jijini Dar es Salaam pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo, mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo jana.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deogratius Kwiyukwa (wa tatu kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Dk. Haruni Kondo (wa tatu kulia), Tuzo ya Ushindi wa Kwanza kwa Mashirika yatoayo huduma katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Sabasaba, mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo, jijini jana.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Dk. Haruni Kondo (kulia), kwenye banda la shirika katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Viwanja vya Sabasaba, jijini Dar es Salaam jana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni