Timu ya Everton wameendelea kufanya
usajili wa bei mbaya katika usajili wa majira ya joto kwa kumtwaa
beki wa kati Michael Keane kutokea Burnley kwa ada ya dau paundi
milioni 30.
Keane mwenye miaka 24, ametia saini
makataba wa miaka mitano akishawishiwa na kocha Ronald Koeman
kujiunga na Everton na kuwa mchezaji wa tano kusainiwa.
Beki Michael Keane akiwa mbele ya jengo klabu ya Everton
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni