Timu ya Manchester United
imebainisha jezi zake mpya ambazo vijana wa Jose Mourinho watavaa
katika msimu huu ambao pia wanarejea katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kwa mwaka wake wa tatu wa mkataba wa
miaka 10 wa paundi milioni 750 na adidas, washindi hao wa Ligi ya
Uropa watavaa fulana zenye kola fupi na vifungo.
Jezi hizo pia zimetambulishwa pia na
kapteni wa klabu hiyo Wayne Rooney, wakati zikizinduliwa leo, akiwemo
pia nyota mwenye mkataba na adidas Paul Pogba.
Wachezaji wa Manchester United wakiwa katika jezi mpya watakayoitumia wakiwa nyumbani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni