.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Julai 2017

TIMU YA CHELSEA YATAMBULISHA JEZI ZAKE MPYA ZA NIKE



 Timu ya Chelsea imetambulisha jezi zao mpya watakazotumia kwa mechi za nyumbani na ugenini katika msimu wa 2017-18, huku mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Uingereza sasa wakivalia uzi wa Nike.

Chelsea ilimaliza mkataba wa udhamini na adidas mwezi Mei baada ya pande hizo mbili kuamu kusitisha makubaliano yao ya hivi karibuni, na kuvunja mahusiano yote na kampuni hiyo kubwa ya vifaa na nguo za michezo baada ya ushirikiano wa miaka 11.
                                     Beki Mbrazil David Luiz akiwa katika uzi mpya wa Chelsea
                                      Mchezaji Eden Hazard akiwa katika uzi mpya wa Chelsea 
                   Mbrazil Willian akifanya madoido na mpira akiwa katinga jezi mpya 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni