Bondia Floyd Mayweather amebainisha hadharani kuwa
anamchukia kikweli mpinzani wake Conor McGregor, na amemuonya kutotumia mbinu
za mapigano ya UFC katika pambano lao.
Wanamasumbwi hao wakubwa duniani watadundana Agosti 26,
katika pambano ambalo linasemekana kuwa ni kubwa kuliko yote litakalofanyika Jijini Las Vegas.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni