Tukio hilo limetokewa ikiwa zimepita
saa nane tangu watu 13 kuuwawa kwa kugongwa na gari huko Las Ramblas
na kwa sasa polisi wanamtafuta mzaliwa wa Morocco Moussa Oukabir, 18.
Wahusika wakuu watano wa
mashambulizi hayo ya kigaidi yanayotokana na itikadi kali wameuwawa
na watatu wamekamatwa akiwamo kaka wa Moussa.
Gari aina ya Audi iliyokuwa ikitumiwa na watuhumiwa wa ugaidi watano waliouwawa ikiwa imepinduka
Mwili wa mmoja wa watuhumiwa wa ugaidi aliyeuwawa kwa kupigwa risasi ukiwa barabarani
Kijana mzaliwa wa Morocco Moussa Oukabir, 18, anatafutwa na polisi wa Hispania
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni