Nchi ya Sierra Leone imesema inahitaji msaada wa haraka kwa
maelfu ya watu waliokumbwa na maporomoko ya ardhi na mafuriko makubwa katika
Jiji la Freetown.
Rais Ernest Bai Koroma amesema jamii nzima imesambaratishwa,
huku hali ya kuzidiwa na wahitaji wa
msaada ikiwa imekithiri.
Baadhi ya waokoaji wakifanya jitihada za kuwatafuta watu waliofukiwa na kifusi kilichoporomoka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni