Arsenal imepata siku nyingine mbaya
huko Staffordshire wakati Stoke City ikishinda goli 1-0 katika dimba
la bet365, goli lililofungwa na mchezaji mpya Jese Rodriguez.
Mhispania Jese alifunga goli hilo
katika kipindi cha pili ndani ya sekunde 90 baada ya kuinasa pasi ya
Saido Berahino.
Arsenal ililiandama goli la Stoke
City lakini walishindwa kusawazisha huku ikishuhudia goli
lililofungwa na Alexandre Lacazette likikataliwa kwa kuotea.
Monreal Petr Cech wakiangalia mpira uliopigwa na Jese Rodriguez ukitinga wavuni
Alexandre Lacazette akiwa ameshikilia kichwa baada ya goli lake alilofunga kukataliwa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni