Mchakato wa Barcelona kumuwania
Philippe Coutinho umeongeza kasi baada ya leo asubuhi wakurugenzi wa
klabu hiyo kuwasili Uingereza kujaribu kukamilisha mpango huo ili
aweze kucheza dhidi ya Real Madrid jumapili.
Wakurugenzi hao wa Barcelona Oscar
Grau, Raul Sanllehí na Javier Bordas wanatarajia kurejea Barcelona
usiku wa leo wakiwa wamekamilisha mpango huo baada ya Liverpool
kukubali kuwa Coutinho anataka kuondoka.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni