.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Septemba 2017

MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU AZUNGUMZA NA MAAFISA HABARI

DSC_0908
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
DSC_0918
Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni