Cristiano Ronaldo amefunga mara
mbili wakati wakati Real Madrid ikianza kutetea ubingwa wake wa Ligi
ya Mabingwa Ulaya ikiitundika Apoel Nicosia magoli 3-0.
Mshambuliaji Ronaldo alifungua lango
la goli kwa kufunga kwa mpira karibu na kuongeza la pili kwa mkwaju
wa penati.
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos
naye akafunga goli la tatu kwa staili ya sarakasi ya kinyume nyume na
kunogesha ushindi huo.
Cristiano Ronaldo akiifungia Real Madrid goli lake la kwanza
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos akifunga kwa staili ya tik taka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni