Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger,
amemtabiria makubwa kinda Edward Nketiah baada ya magoli yake mawili
kuisaidia kutinga robo fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Norwich
City.
Nketiah mwenye miaka 18, aliyetokea
benchi alitikisa nyavu za goli la Norwich mara mbili baada ya pande
la James Maddison kunaswa na Josh Murphy na kuifungia Nowwich goli la
kwanza.
Mshambuliaji kinda Edward Nketiah akiifungia Arsenal goli la kusawazisha
Edward Nketiah akiruka juu na kufungwa kwa kichwa goli la pili la Arsenal
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni