.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 31 Oktoba 2017

BURNLEY YAMPA ZAWADI KOCHA SEAN DYCHE KWA KUIFUNGA NEWCASTLE

Burnley imechagiza sherehe za kocha wake kutimiza miaka mitano akiinoa klabu hiyo kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Newcastle katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Zawadi ya ushindi huo kwa kocha Sean Dyche, ilitokana na goli pekee katika mchezo huo lililofungwa na Jeff Hendrick.

Mapema Newcastle walikaribia goli la wapinzani wao pale Ayoze Perez alipopiga shuti la kuzungusha na kupanguliwa na kipa Nick Pope.
                                 Jeff Hendrick akiifungia Burnley goli pekee katika mchezo huo
          Kipa wa Burnley Nick Pope akiwa amedaka mpira huku Christian Aku wa Newcastle akimruka

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni