.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 31 Oktoba 2017

CHATU ANASWA AKIWA AMEZINGIRA TUNDU LA NDEGE JAMII YA KASUKU

Ndege jamii ya Kasuku amenusuriwa maisha yake nchini Singapore baada ya mmiliki wake kubaini nyoka aliyekuwa amejizungusha kwenye tundu la ndege.

Nyoka huyo aina ya chatu mwenye urefu wa mita 1.5 alibainika hapo jana katika nyumba ya mtu aitwaye Melvin Yap.

Bw. Yap alifanikiwa kumnasa nyoka huyo kwa kutumia fimbo na kumkabidhi kwa timu ya uokoaji wanyama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni