.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 30 Oktoba 2017

KOCHA MPYA WA LEICESTER CITY CLAUDE PUEL AFURAHIA KUIFUNGA EVERTON

Kocha mpya wa Leicester City Claude Puel amesema ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Everton isiyonakocha ni mwanzo mzuri wa kurejesha makali.

Kocha huyo wa zamani wa Southampton alichaguliwa kuiongoza timu hiyo jumatano kuchukua nafasi ya Craig Shakespeare.

Katika mchezo wa jana Puel alishuhudia Jamie Vardy akifunga goli huku naye Demarai Gray akichangia goli la kujifunga lililofungwa na Jonjoe Kenny.
                       Mshambuliaji Jamie Vardy akifunga goli la kwanza la Leicester City
          Demarai Gray akiachia shuti ambalo mpira wake ulizaa goli baada ya beki Kenny kujifunga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni