Kiungo Mbelgiji Kevin De Bruyne
ametandaza kandanda safi wakati Manchester City ikiiangushia kipigo
cha magoli 7-2 Stoke City.
Mchezaji huyo mwenye miaka 26
amesaidia kiufungwa magoli mawili na kutoa moja ya pasi bora ya msimu
iliyozaa goli la pili la Manchester City.
Manchester City ilifunga magoli 3
kwa bila katika kipindi cha kwanza huku ikimiliki mpira kwa asilimia
83.5.
Magoli ya Manchester City yalifungwa
na Jesus dakika ya 17 na 55, Sterling dakika ya 19, Silva dakika ya
27, Fernandinho dakika ya 60, Sané dakika ya 62, Bernardo Silva
dakika ya 79.
Mbrazil Gabriel Jesus akifunga goli lake la pili katika mchezo huo
Mjerumani Leroy Sane akishangilia baada ya kutumbukiza kimiani mpira
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni