Cristiano Ronaldo ametajwa kuwa
mchezaji bora soka wa kiume kwa mwaka 2017 na Shirikisho la Soka la
Dunia FIFA Jijini London.
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid na
Ureno amemshinda Lionel Messi wa Barcelona na Neymar wa Paris
St-Germain.
Ronaldo, 32, aliisaidia Real Madrid
kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na ubingwa wa La
Liga.
Cristiano Ronaldo akishukuru kwa tuzo huku akiangaliwa na Diego Maradona pamoja na Ronaldo de Lima
Cristiano Ronaldo akiwa na tuzo yake pamoja na kocha wake Zinedine Zidane aliyeshinda tuzo ya kocha bora
Cristiano Ronaldo akiwa na mtoto wake pamoja na mpenzi wake katika picha ya pamoja
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni