.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 3 Novemba 2017

PATRICE EVRA ATOLEWA NJE YA UWANJA KWA KUMPIGA TEKE SHABIKI

Patrice Evra ametolewa nje ya uwanja baada ya kumpiga teke la kichwani mmoja shabiki wa timu yake kabla ya mchezo wa ligi ya Uropa ambao Marseille ilifungwa na Vitoria Guimaraes.

Picha zinamuonyesha beki huyo wa zamani wa Manchester United akimrukia teke shabiki wao uwanjani wakati timu zikipasha kabla ya mechi.

Bodi ya nidhamu ya UEFA inatarajiwa kutoa hatua zaidi za adhabu dhidi ya Patrice Evra hii leo.
                       Patrice Evra akiondolewa na wachezaji wenzake asiendeleze ubabe wake
Akiwa Manchester United Patrice Evra aliwahi kupigana na mmoja wa wasimamizi wa uwanja wa Chelsea

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni