.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 3 Novemba 2017

TIMU ARSENAL YATINGA HATUA YA MTOANO LIGI YA UROPA

Timu ya Arsenal imetinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Uropa licha ya kutoka sare tasa na Red Star Belgrade.

Mshambuliaji Olivier Giroud, anapaswa kujilaumu kwa kukosa nafasi kadhaa za kufunga na mara mbili mashambulizi yake yalizuiliwa na kipa Milan Borjan.

Nafasi bora kabisa ya kufunga katika mchezo huo ilimkuta kiungo Jack Wilshere, lakini shuti lake liliokolewa kwenye mstari wa goli.
                   Kipa wa Arsenal Matthew Macey akipangua mkwaju wa Vujadin Savic 
                Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere akijaribu kufunga goli katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni