.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 11 Novemba 2017

TIMU YA MARCEDES YAPORWA KWA MTUTU WA SILAHA JIJINI SAO PAUL

Dereva wa mbio za magari za Langlanga Lewis Hamilton amesema amechukizwa na habari ya watumishi wa timu ya Mercedes kuibiwa kwa mtutu Jijini Sao Paul Brazil jana usiku.

Gari la watumishi wa Mercedes lilizimamishwa kwenye barabara na waporaji wenye silaha hata hivyo hakuna mtu aliyedhuriwa katika tukio hilo.

Hamilton amesema kuwa katika tukio hilo risasi zilifyatuliwa na watumishi hao wa Marcedes waloelekezewa bastola vichwani mwao, na kuongeza kuwa inaudhi mno kusikia haya.

Hamilton amesema kwamba matukio ya uporaji Sao Poul nchini Brazil hutokea kila mwaka na kuutaka uaongozi wa F1 kuimarisha zaidi ulinzi na wasitafute sababu za kujitetea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni