.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 11 Novemba 2017

NEYMAR AMWAGA CHOZI KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Mshambuliaji wa PSG Neymar ametokwa machozi baada ya kocha wa timu ya taifa ya Brazil Tite kumtetea baada ya kuibuka na ushindi Ijumaa dhidi ya Japan.

Gazeti moja la Ufarasa hivi karibuni liliandika uhusiano baina ya bosi wa PSG Unai Emery na Neymar umetibuka hivi karibuni, ikiwa ni miezi michache anunuliwe kwa kitita cha paundi milioni 198, akitokea Barcelona.

Hata hivyo, Neymar amekuwa amekanusha vikali madai hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya kuishinda Japani kwa magoli 3-1 huko Lille.
               Kocha Tite akimshika kichwa Neymar kumbembeleza baada ya kuangua kilio

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni