.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Desemba 2017

MAJALIWA AREJEA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mekewe Mary wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Benilith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017. Mheshimiwa Majaliwa amerejea Dodoma baada ya safari katika mikoa ya Singida, Lindi na Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni